Saturday, July 7, 2012

Foreign direct investment into Africa to double by 2014: UN

Johannesburg (Reuters) – Foreign direct investment inflows into Africa fell in 2011 for the third consecutive year but could more than double by 2014, as stronger economic growth, ongoing reforms and high commodity prices improve investor perceptions, the United Nations said on Thursday. The decline in investment, from $43.1 billion in 2010 to $42.7 billion in 2011, was largely due to reduced inflows to North Africa as social and political unrest...

Africa’s True Mobile Revolution Has yet to Start – HBR

I saw this article submitted by Bright B. Simmons on Havard Business Review (HBR) Blog network and thought i should share with you. By Bright B. Simons  |  For : Havard Business Review The United States economy is nine times the size of Africa’s, but Africa has twice as many mobile phones. This tantalizing statistic would seem to indicate that, in the mobile era, Africa’s time has come. But the mobile subscriber numbers are only part...

Ecobank Kuendelea Kuikopesha NHC Ijenge Nyumba

Benki ya Ecobank imeahidi kuendelea kulikopesha zaidi Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), katika mradi wa kujenga nyumba na kukopesha ili kuhakikisha Watanzania  wengi wanapata nyumba bora na za bei nafuu. Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, James  Cantamantu-Koomson, ametoa ahadi hiyo wakati baada ya hafla  iliyoandaliwa na NHC kwa ajili ya kutiliana saini mkataba wa mkopo na taasisi  tisa za fedha juzi jijini Dar es Salaam. Katika...

Vodacom yatumia Zaidi ya mil.120 kuboresha mawasiliano‏ Maonyesho ya Sabasaba 2012

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imesema imetumia zaidi ya Sh  milioni 120 kuboresha sekta ya mawasiliano katika Maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Imesema fedha hizo zinatumika katika kuwezesha mawasiliano na machapisho  mbalimbali katika maonesho hayo. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Tuzo ya udhamini wa  maonyesho hayo, Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania,...

Tanzania Yaruhusiwa Kuchimba Madini ya Urani Selous

Serikali imeruhusiwa kurekebisha mpaka wa Pori la Akiba la Selous ambalo ni eneo  la urithi wa dunia kwa ajili ya kuruhusu uchimbaji wa madini aina ya urani. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki ameyasema hayo Dar  es Salam wakati anazungumzia kikao cha 36 kinachoendelea katika Jiji la Saint  Petersburg nchini Urusi kilichokutanisha Kamati ya Urithi wa Dunia ya Shirika la  Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi...

Slowing Chinese economy will cool growth in East Asia

A slowing Chinese economy will cool growth in  East Asia this year, but China has significant fiscal resources to help engineer a “soft  landing” and could cut taxes and raise s welfare spending, according to the  World Bank. In its twice-yearly report on the region, the Bank said Chinese  gross domestic product (GDP) would grow by 8.2% in 2012 compared with its  previous forecast of 8.4% – - before recovering to 8.6% in...